wajumbe kutoka chama kikuu cha ushirika wa akiba na mikopo SCCULT (1992) Ltd kwa kushirikiana na mdau wake DSIK wametembelea chama cha ushirika wa akiba na mikopo Ng’ambo SACCOS Ltd kilichopo katika kata ya Msaranga manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Lengo la ziara hii ni kujua changamoto mbalimbali za vyama wanachama wa SCCULT (1992) Ltd na kujua namna vyama hivi vitasaidiwa hasa tukizingatia kwamba chama hiki ni mnufaika wa awali wa mfuko wa SACCOS kukopeshana CFF.

BADO WIKI TANO KUELEKEA SIKU YA KIMATAIFA YA SACCOS DUNIANI

Language »